Mtoto Devotha Gerald (4)
aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu Samson Bwire Amefariki dunia
baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yake kushindikana.
Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye
naye alipigwa vibaya na wananchi wenye hasira yuko mikononi mwa jeshi la
polisi.
Tendo hili lilitokea mkoani
Shinyanga. Kama haukuona habari hiyo ya kusikitisha, ya kushambuliwa mtoto
huyo, iliyotokea juzi usiku.
No comments:
Post a Comment