https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Monday, May 13, 2013

Kutoka mjengoni Bungeni leo mjini Dodoma kwenye Bunge la Bajeti

 Waziri wa ` Ujenzi John Magufuli akisoma hotuba ya bajeti ya Wazara yake, Bungeni Mjini Dodoma, May 13, 2013.
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Viwanda  na  Biashara, Abdallah Kigoda, ambaye pia ni Mbunge wa Handeni bungeni leo Mjini Dodoma Mei 13, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bukene, Selemani Zedi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma May 13,2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...