https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Monday, May 13, 2013

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva Loveness Love aingia pabaya baada ya kutukanwa vilivyo na mchumba ake Prozzo

Kwa msaada wa mitandao
Vita  kali  ya  matusi  ya  nguoni  imeibuka  kati  ya  Loveness Diva  wa Bongo na Lady Boss  wa  Kenya  kisa  kikiwa  na  PENZI  LA  PREZZO.

Mwanadada maarufu nchini Kenya  maarufu  kwa   jina  la  Huddah Monroe leo  ameingia  kwenye  bifu  kali  na   Tanzanian Diva, Loveness Love, kwa  madai  kwamba  Diva  ameparamia  penzi  la  mpenzi  wake  ambaye  ni  prezzo....
 
Mrembo  huyu  anashangaa  kuingiliwa  penzi  lake  na  mtu  kama  Diva....Kwa  upande  wake  anamchukulia  Diva  kama  mwanamke  mchafu, Njiti,asiye  na  makalio ya  kuvutia  na  kahaba





No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...