https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Saturday, May 11, 2013

Rais Kikwete arejea akitokea nchini Afrika Kusini leo na kupokewa na viongozi mbalimbali, akiwamo Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC.PICHA NA IKULU

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...