https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Thursday, May 16, 2013

Msanii Dipo avamia masumbwi ili kujiweka sawa kwenye kazi zake kisanaa



Kocha wa mchezo wa masumbwi Klabu ya Amana CCM ,Kondo Nassoro Kushoto akimwelekeza msanii wa michezo ya kuigiza kwenye Luninga, Haruna Mussa'Dipo' Dar es Salaam jana jinsi ya kutupa makonde alipokwenda kufanya mazoezi ya ngumi kwa ajili ya kujiweka sawa sawa katika kuakikisha anafanya vizuri kwenye fani yake ya uigizaji. Picha na Rajabu Mhamila, Super De

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...