| Bondia Omari Zungu akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Haruna Sinondo wakati wa mchezo wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Sinondo alishinda kwa K,O raundi ya pili. |
| Bondia Said Mkonde kushoto akioneshana uwezo wa kurushiana makonde na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbelwa alishinda kwa K,o raundi ya pili. |
| Bondia Said Mkonde kushoto akioneshana uwezo wa
kurushiana makonde na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika
Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbelwa alishinda kwa K.O raundi ya pili. |
| Bondia Chilambo Hemed kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Boniface Urasa wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki Chanika Chilambo alishinda kwa point. |
| Bondia Said Mbelwa akipambana |
| Bondia Omari Zungu akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Haruna Sinondo wakati wa mchezo wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Sinondo alishinda kwa K,O raundi ya pili. |
| Refarii Saidi Chaku akimwinua mkono juu Bondia saidi Mbelwa kuashilia ni mshindi katika mpambano huo. Picha zote kwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com...... |

No comments:
Post a Comment