https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Monday, March 04, 2013

Shuhudia Maneno Oswald alivyochakazwa na Japhet Kaseba

Bondia Maneno Osward kushoto akipambana na Japhert Kaseba wakati wa mpamba
 no wao wa ubingwa wa taifa uliofanyika jumamosi katika Ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa. Kaseba alishinda kwa pointi.
Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea Ubingwa wa Taifa, Kaseba alishinda kwa pointi.
Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea Ubingwa wa Taifa, Kaseba alishinda kwa pointi
Bondia Japhert Kaseba akinyooshwa mkono juu na refarii Antoni Ruta baada ya kuibuka mshindi kwa kumgalagaza Maneno Oswald.
Bondia Aliphonce Mchumiatumbo kushoto akioneshgana uwezo wa kutupiana masumbwi na Josephe Marwa mpambano wa uzito wa juu uliofanika jumamosi Mchumiatumbo alishinda kwa K,O raundi ya sita
Bondia Putile Gama kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Tom Kato kutoka Japani anaeishi mjini Bagamoyo Kato alishinda kwa K,O raundi ya pili.
Bondia Aliphonce Mchumiatumbo kushoto akioneshgana uwezo wa kutupiana masumbwi na Josephe Marwa mpambano wa uzito wa juu uliofanika jumamosi Mchumia Tumbo alishinda kwa K,O raundi ya sita.
Bondia Tom Kato kulia  kutoka Japani anaeishi mjini Bagamoyo akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Putile Gama Kato alishinda kwa K,O raundi ya pili picha zote kwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...