https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Saturday, March 02, 2013

SEMINA KUHUSU TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO NA UTAWALA BORA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA Tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu teknolojia ya mawasiliano na Utawala Bora vinavyoweza kuchangia maendeleo ya uchumi na kufanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na ISACA Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Norway Registers Development. (Picha na Habari Mseto Blog)
Baadhi ya washiruiki wa Semina hiyo kutoka katika taasisi za Fedha
Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akitoa mada katika semina hiyo.
Washiriki wa semina.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Norway Registers Development (NRD), Jon Birger F Jalestand amkitoa mada katika semina hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Norway Registers Development (NRD), Jon Birger F Jalestand amkitoa mada katika semina hiyo.
Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu teknolojia ya mawasiliano na Utawala Bora vinavyoweza kuchangia maendeleo ya uchumi na kufanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na ISACA Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Norway Registers Development. (NRD)

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...