https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Tuesday, March 05, 2013

Mbunge Sharobaro wa Kenya ashinda kwa kishindo

HONGERA SANA MIKE SONKO: THE NEW SENATOR OF NAIROBI COUNTY


Gidion Kioko Mbuvi almaarufu kwa jina la Mike Sonko (Sheng for "rich person") kupitia chama cha TNA ashinda kwa kishindo nafasi ya usenator wa County ya Nairobi kwa kupata kura 57% ya kura zilizopigwa.



Katika awamu iliyopita Hon Sonko alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Makadara-Nairobi. Na mmoja ya wabunge waliosimama kidete kupigania maslahi ya vijana hasa wale wa hali ya chini katika maeneo yote ya viunga vya jiji la Nairobi. Hii ni inadhihirisha wazi imani kubwa waliyonayo vijana wote wa viunga vya Nairobi dhidi yake. 


Hongera sana SUGU wa KENYA.
Mwandishi Wetu, Kenya
MBUNGE  maarufu mwenye muonekano wa usharobaro nchini Kenya, Gidion Kioko Mbuvi aneyejulikana kama Mike Sonko (Sheng for "rich person") kupitia chama cha TNA amefanikiwa kutetea nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu kwa kupata kura 57% ya kura zilizopigwa.

Katika awamu iliyopita Hon Sonko alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Makadara-Nairobi, huku akifanikiwa kujiweka karibu na wananchi hivyo kumrudisha tena bungeni.

Na mmoja ya wabunge waliosimama kidete kupigania maslahi ya vijana hasa wale wa hali ya chini katika maeneo yote ya viunga vya jiji la Nairobi.

Hii ni inadhihirisha wazi imani kubwa waliyonayo vijana wote wa viunga vya Nairobi dhidi yake.


No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...