https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Friday, December 07, 2012



UTAMADUNI


TANZANIA yenye zaidi ya makabila 120, kila moja lina utamaduni wake. Kutokana na hilo, unaweza kumuona mtu katika hali fulani, lakini utamaduni wake, au mazoea yake yakakushangaza na kumuangalia mara mbili mbili.

Kama alivyokutwa na MpigaPicha wa Handeni Kwetu leo mkazi wa Sinza, Jijini Dar es Salaam, Rehema Mbwana, alivyokutwa akionja mboga aina ya hombo, katika kijiji cha Komsala, wilayani Handeni, mkoani Tanga

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...