Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Padri,
Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar anayeuguza majeraha
katika taasisi ya mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Moi) jijijini Dar
es salaam leo, baada ya kupigwa risasi sehemu za mdomoni na watu wasiojulikana.
Picha na MpigaPicha wetu.
No comments:
Post a Comment