Daladala hii inaypfanya safari zake Segerea Mwenge yenye namba za usajili T 669 BKL, ilinaswa ikiwa imeishiwa mafuta hivyo safari kusimama kwa muda. Hata hivyo, abiria kama unavyowaona hapo walipoanza kumuuliza konda wa daladala hilo, walimkosa kwa madai kuwa alikwenda kununua mafuta. Hiyo si habari ngeni, maana daladala nyingi zimekuwa zikishindwa kuwajali wateja abiria wao. Picha na Kambi Mbwana
xx
No comments:
Post a Comment