https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Tuesday, December 18, 2012

Rachel wa THT na balaa lake

Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Rachel, kushoto akionyesha uwezo wake wa kunengua katika onyesho la mwanamuziki Koffi Olomide, nyuma yake. Upele umempata mkunaji. Muone anavyoyakata magoma na anavyochekea photos.

cc

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...