Mwandishi
wa habari wa Capital Radio ya jijini Dar es Salaam,
Mastar Tindwa, akiandaa kifaa chake cha kazi mbele ya Katibu Mkuu wa Yanga,
Lawrence Mwalusako kulia na Msemaji wa klabu hiyo, Baraka Kiziguto, kama walivyokutwa na kamera ya Handeni Kwetu Makao Makuu
ya klabu hiyo muda mfupi uliopita.
Yanga
walizungumzia safari yao
ya Uturuki waliyopanga kuondoka alfajiri ya Desemba 30 na kukaa huko kwa wiki
mbili. Picha na Kambi Mbwana.
No comments:
Post a Comment