Thursday, December 13, 2012
Kilimo cha kisasa wilayani Handeni
Hizi ni picha mbalimbali zilizopigwa katika shamba la kisasa la SASAMUA Estate, lililopo Kwamsisi, wilayani Handeni mkoani Tanga mwishoni mwa wiki iliyopita.
Picha ya juu kabisa ni bwawa la kuvunia na kuhifadhia maji kwa ajili ya kusambaza kwenye shamba hilo linalolima mazao mbalimbali kama vile nyanya, ndizi, kabeji, mananasi na mboga mboga nyingine.
Pia mwenye miwani ni Mkuu wa wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu.
Picha ya chini ni Meneja Mazao wa shamba hilo, Josephat Odhiambo, akizungumza jambo katika kriniki ya utafiti wa mazao mbalimbali kwenye shamba hilo, kabla ya kuoteshwa. Picha zote na Kambi Mbwana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment