Diamond anaposema ‘Nalia’
Diamond pichani
Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
NAKUKARIBISHA mdau wa Handeni Kwetu katika kona hii mpya ya kuchambua mashairi ya nyimbo mbalimbali za kizazi kipya kwa ajili ya kutuelimisha na kuburudisha pia.
Leo tuanze na wimbo wake Diamond unaokwenda kwa jina la 'Nalia', aliyoimba sambamba na mkali wa Hip Hop hapa nchini, namzungumzia Chid Benz.
Ni wimbo wenye mashairi
mazuri, huku yakiimbwa kwa ubora wa hali ya juu. Najua mashairi haya yatakukuna
kisawa sawa, maana yanagusa mapenzi.
Diamond katika
kibao hiki anasema anajua mapenzi ni kama
bahari, kamwe haina utani. Anasema unapozama kwenye bahari, kupotea ni kwa
asilimia kubwa, hata kama uwe unajua kuogolea
zaidi ya samaki.
Diamond enzi za uhusiano wake na Wema Sepetu
Huyo ndiyo Diamond
bwana. Amekuwa makini mno katika kutunga na kuimba vibao vya mapenzi. Mwanadada
Wema Sepetu, aliwahi kuieleza kona hii kuwa hata kama
ameachana na msanii huyo, kamwe hatachoka kuwa shabiki wa jamaa huyo kwa madai kuwa anazimikia nyimbo zake.
Wema anajua kuwa
ni vibao maridadi vyenye ujumbe mzito katika mambo ya mahabati, ndio maana
anashindwa kuzizuia hisia zake.
Diamond anasema
ndani ya wimbo huu kuwa mapenzi yanatesa na kuumiza vibaya. Kama hivyo ndivyo,
basi yeye amemuumiza zaidi mwadada Wema, hasa pale alipokataa pesa zake katika
moja ya shoo zake, iliyofanyika Mlimani
City.
Ni wakati wetu
sasa kuangalia kwa kina mapenzi kwa kuhakikisha kwamba tunakuwa na watu
wenye mapenzi ya kweli na sio wale
matapeli.
Haya ndio mashairi
ya wimbo huu.
Diamond
Me
niliambiwa mapenzi ni kama bahari,
Ukishazama
ndo basi umepotea,
Kumbe mwenzangu alikuwa na taa,
Kumbe mwenzangu alikuwa na taa,
Badala
ya kuzama me kwangu akaelea
Akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana
Mikwanja nikamwaga mama, japo sio kivile
Akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana
Mbona mifedha nikamwaga mama,
Akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana
Mikwanja nikamwaga mama, japo sio kivile
Akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana
Mbona mifedha nikamwaga mama,
Japo
sio kivile Wakaja wajinga wakamchukua
Wakamhonga
honga mwisho wakamnunua
Wajinga wakamchukua, wakamhonga honga mwisho wakamnunua yaya haaaa
Wajinga wakamchukua, wakamhonga honga mwisho wakamnunua yaya haaaa
Kiitikio
Usinione
nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
Uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
Uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
Ubeti
2
Najua
alimaanisha kuwa simfai ila lakini angesema
Kuliko alichofanya me akantoa nishai akanimeza akanitema
Nyie mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya
Mmmmhhhhh mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya
Safari ndo inanifanya mi usingizi sipati
Huwa nakumbuka mbali hasa nikisikia harufu yake ya marashi
Kwa uchungu nilivyoumia katika hili songi
Nalia, nafuu kwa hisia naimani iko siku nyimbo itamfikia
Me kwa uchungu nilivyoumia mie katika songi
Nalia, nafuu kwa hisia naima ni iko siku nyimbo itamfikia
Yayayaaa

Chid
Benz
Usione
nakosa raha mama nalalama kwako mara kadhaa
We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa
Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa
Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa
Wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie
Njia yetu moja niache nipite si ukasimulie
Ya kinyamwezi na swaga zako juu
Na miguu napata picha kitandani kungfu
Uko juu ukipita lazima wasome namba
We ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
Huu ndo mfano hata unajua neno pamba
Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba
Mikogo kila leo ntajigamba, kisela piga teke inauma
Usiombe mapenzi yakupige teke inauma
Usiombe mapenzi yakupige teke eee

Uuuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
Uuuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
0712 053949
0753 806087
No comments:
Post a Comment