Mkazi wa kijiji cha Komsala, wilayani Handeni, mkoani Tanga, Mashaka Abdallah akijishughulisha na ufyatuaji wa matofali kwa ajili ya kumpatia mkate wake wa kila siku. Mashaka aliiambia Handeni Kwetu kuwa tofali moja la tope analiuliza kwa Shilingi 50. Picha na Kambi Mbwana.
No comments:
Post a Comment