Tuesday, December 04, 2012
Usikose kusoma Mtanzania kila siku
Mfano wa picha ya mwonekano wa Gazeti la Mtanzania
Usikose kusoma Gazeti la Mtanzania kila siku kwa habari mbalimbali za kisiasa, kimichezo, kijamii bila kusahau burudani zinazochambuliwa kwa kina. Ni Mtanzania pekee utakapokutana na kolamu za Kambi Mbwana, kama vile Mgodi Unaotembea kila Jumatano na Jumapili.
Mambo Fulani Muhimu kila Jumamosi. Siwezi Kuvumilia kila Jumatatu, sambamba na makala mbalimbali zinazoaandikwa kwa utulivu wa hali ya juu. Wewe msomaji unakaribishwa kwa maoni na ushauri juu ya kuboreshwa zaidi kwa kazi zangu.
Email ni kambimbwana@yahoo.com
0712 053949
0753 806087
Karibuni sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment