Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania, Fadhili Mwasyeba wa pili
kushoto akibadilishana hati ya makubaliano ya kulipia king'amui cha Zuku kwa
njia ya mtandao na Meneja wa matangao na Masoko wa Kampuni ya SelCom wireless
Paypoint, Juma Mgori, makubaliano hayo yamefanyika leo jijini Dar es salaam. Picha na Mpigapicha Wetu
No comments:
Post a Comment