https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, September 02, 2013

roli la mizigo lagongana na hiace na kuua kadhaa, Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga usiku wa kuamkia leoHABARI zilizotufikia usiku ni kuwa watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika ajali ya gari iliyotokea Mkata, wilayani Handeni, mkoani Tanga usiku wa kuamkia leo baada ya gari aina hiace kugongana na roli la mizigo katika barabara hiyo.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa walisema kuwa idadi ya watu waliopoteza maisha inaweza kufikia watatu hadi saba.

Juhudi za kupata kwa kirefu ajali hiyo pamoja na kuzungumza na Kamanda wa Polisi mkoani Tanga zinafanyika.


No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...