https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Wednesday, May 01, 2013

Leo ndio leo King Class Mawe na Amosi Mwamakula ulingoni PTA Sabasaba

Bondia Amosi Mwamakula kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo, PTA Sabasaba
Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi katikati akionesha mzani waliopimia mabondia Thomasi Mashali kushoto na Fransic Cheka kulia katikati ni Promota wa mpambano huo Adamu Tanaka picha na mpambano wao utakaofanyika leo Mei Mosi katika Ukumbi wa PTA Sabasaba.
Bondia Amosi Mwamakula kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Mabondia Yusuph Jibaba kushoto akitunishiana misuli na Shabani Mhamila 'Star Boy' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa mei mosi utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipimwa afya katikati ni mpinzani wake Amosi Mwamakula.
Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' akipimwa Afya leo kwa ajili ya mpambano wake
Bondia Amos Mwamakula akipimwa Afya
Baadhi ya mabondia watakaopambana kesho wakiwa katika picha ya poz wa pili kushoto ni Thomas Mashali,,Shabani Mhamila 'Star Boy' Ibrahimu Class' King class Mawe' wengine ni wapambe wao katika mchezo huo. Picha zote kwa hisani ya Super D

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...