https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Wednesday, May 01, 2013

Ajali mbili zatokea mkoani Mbeya kunapofanyika Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi



LICHA ya mji wa Mbeya leo kufanyika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi duniani, Mei Mosi, mkoa huo umekumbwa na ajali mbili na kuzua simanzi katika furaha hiyo.
Habari ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi zinasema kuwa moja ya ajali hiyo ilikuwa ikiwapeleka walimu katika maadhimisho ya Mei Mosi, ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete.

Tunaendelea kufuatilia taarifa hizo zilizotufikia hivi punde, ambapo waandishi wetu waliokuwapo mkoani Mbeya pamoja na kwenye sherehe hizo wanahangaikia kujua chanzo cha ajali hizo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...