https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Sunday, June 09, 2013

Japhet Kaseba wa Tanzania alivyomdunda Mmalawi Rasco Simwanza

Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano.

Bondia Juma Fundi akioneshana umwamba na Moro Best wakati wa mpambano huo.

Bondia Juma Fundi akioneshana umwamba na Moro Best wakati wa mpambano huo Juma fundi alishinda kwa KO raundi ya sita.
Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano.
Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano.
Bondia Rasco Simwanza kutoka Malawi kushoto akipambana na Japhet Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Kimataifa wa PST kaseba alishinda raundi ya tano.
Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST

Bondia Kaseba akishangilia ushindi. Picha zote kwa hisani ya Super D.......

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...