Na Esther Macha,
Mbeya
Aidha Osward alizitaja ofisi ambazo zimevunjwa na vifaa kuchukuliwa ni ofisi ya Mkuu wa shule,uhasibu,taaluma na ofisi inayotunza nyaraka za shule ikiwa ni pamoja na vyeti vya Wanafunzi waliohitimu masomo yao katika shule hiyo.
SAKATA la Mgogoro
uongozi shule ya sekondari ya Ndembela ambayo inamilikiwa na Kanisa la Wasabato
na wananchi wanaoizunguka shule hiyo uliodumu kwa muda mrefu umechukua sura
mpya baada ya uongozi wa serikali wilayani Rungwe kupora vifaa vya shule na kutia
kufuri majengo ya shule hiyo huku wakiwataka wamilikiwa kukabidhi
majengo hayo kwa wananchi.
Hata hivyo vifaa
ambavyo vimechukuliwa na uongozi wa halmashauri ni pamoja nyaraka,
Kompyuta,Samani na vyeti vya Wanafunzi .
Akizungumzia tukio
hilo Kaimu Mkuu wa Shule hiyo Brown Osward alisema
kuwa siku ya tukio hilo viongozi mbali mbali wa halmashauri walifika shuleni hapo akiwemo Mwanasheria wa halmashauri ,Ofisa Utumishi pamoja na viongozi wengine wa kata na vijiji kuvamia jengo la utawala kuvunja milango na kubeba vifaa vyote vilivyokuwepo katika majengo hayo ya Utawala.
kuwa siku ya tukio hilo viongozi mbali mbali wa halmashauri walifika shuleni hapo akiwemo Mwanasheria wa halmashauri ,Ofisa Utumishi pamoja na viongozi wengine wa kata na vijiji kuvamia jengo la utawala kuvunja milango na kubeba vifaa vyote vilivyokuwepo katika majengo hayo ya Utawala.
Aidha Osward alizitaja ofisi ambazo zimevunjwa na vifaa kuchukuliwa ni ofisi ya Mkuu wa shule,uhasibu,taaluma na ofisi inayotunza nyaraka za shule ikiwa ni pamoja na vyeti vya Wanafunzi waliohitimu masomo yao katika shule hiyo.
Akizungumzia tukio
Mwenyekjiti wa kijiji cha Ndembela Boaz Mwandambo mvutano wa uongozi wa shule
hiyo na wananchi ni muda mrefu kwa kuwa mkataba wa kanisa hilo wa kuendesha
shule ulikuwa umemalizika hivyo wananchi walikuwa wanahitaji kurejeshewa
majengo yao.
No comments:
Post a Comment