Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David
Mgwassa, akionesha kinywaji cha Afrika Kusini kilichofungwa kwenye viroba kama
ambavyo Konyagi inafanya hapa nchini.Vinywaji kama hivyo vipo karibu nchi nyingi
Ulimwenguni.
Meneja
wa Masoko wa Konyagi, Joseph Chibehe akielezea jinsi vinywaji vyao
vinavyochangia mapato ta serikali.
Makamu Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo, Said Nkumba akichangia mada hiyo
kwa kuviasa baadhi ya vyombo vya habari kuacha kuandika habari za kudidimiza
viwanda vya haba nchini. Kulia ni Idd Azzan Mbunge wa Kinondoni na Dunstan Kitandula
ambaye ni Makamu Mwenyekiti was Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na
Biashara.
Bidhaa mbalimbali zikiwa zimfungwa kwenye viroba
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amos Makala, akichangia mada
katika semina hiyo. Kushoto ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Kassim Majaliwa na
Said Nkumba.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, Dunstan Kitandula akichangia mada hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David
Mgwassa (kushoto) akimkabidhi jezi Idd Azzan kwa ajili ya timu ya Bunge
iliyocheza na timu ya Konyagi kwenye Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma Jumamosi.
Meneja Masoko wa Konyagi, Joseph Chibehe (kushoto) akimkabidhi W. Zuberi msaada wa vyerehani, ambavyo alivipokea kwa niaba ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora, George Mkuchika, akisalimiana na timu ya Bunge muda mfupi kabla ya pambano lao na timu ya Konyagi, kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
George Mkuchika akisalimiana na wachezaji wa timu ya Konyagi
Wachezaji wa timu ya Bunge wakisalimiana na wachezaji wa Konyagi
Kikosi cha timu ya Bunge kilichochuana na Konyagi
Kikosi cha timu ya Konyagi kilichomenyana na Timu ya Bunge
No comments:
Post a Comment