https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Thursday, June 20, 2013

Bondia Juma Fundi kukwaana na Nassibu Ramadhani siku ya Idd Pili

Bondia Juma Fundi kushoto akitunishiana misuri na Nasibu Ramadhani wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Idi pili wengine kushoto ni mratibu Duni Lianjara Promota wa Mpambano huo Side Mkigoma na kocha wa Nasibu Christpher Mzazi.
Kazi ni moja tu
Mabondia wakisaini mkataba

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...