Mlemavu akisoma quraan
JUMLA ya watoto 72 kutoka mikoa mbalimbali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, jana walishiriki mashindano na maonyesho ya kuhifadhi
quraan, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, wakiwamo walemavu wa macho.
Katika mashindano hayo yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha
Sururu Foundation, chini ya mratibu Issa Ramadhan Mohamed, ambaye ni Katibu wa
taasisi hiyo.
Saada Khamis, mlemavu wa macho akisoma quraan
Watu wakifuatilia maonyesho.Watu wakifuatilia.
Diwani wa viti maalumu CCM, Samia Sururu akifuatilia maonyesho haya leo jijini Dar es Salaam, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Sheikhe wa Msikiti wa Idrissa Kariakoo, Ally Bhasaleh, akizungumza katika maonyesho hayo
Raia kutoka Uturuki akizungumza na Clouds Tv
Zawadi za washindi wa kuhifadhi quraan.
No comments:
Post a Comment