Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi
Mwenyekiti wa
Makampuni ya IPP, Reginard Mengi, baada ya kununua sarafu kwa Sh. milioni 20,
wakati wa Harambee ya Mfuko wa Udhamini wa Elimu ya Juu wa
Mwalimu Nyerere, iliyofanyika jana April 8, 2013 katika Ukumbi wa Benki Kuu
(BOT) jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha moja ya
Sarafu iliyopigwa
mnada katika harambee ya Mfuko wa Udhamini wa Elimu ya Juu wa Mwalimu Nyerere,
iliyofanyika jana Aprili 8, 2013 katika Ukumbi wa Benki
Kuu (BOT) jijini Dar es Salaam, ambayo ilinunuliwa na Mwenyekiti wa Makampuni
ya IPP, Reginard
Mengi kwa Sh. milioni 20. Kushoto ni Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa.
Harambee hiyo ilifanyika jana April 8, 2013 katika Ukumbi
wa BOT.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika
picha ya pamoja na
baadhi ya washiriki wa harambee hiyo. Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment