Diwani wa Kata ya Bwilingu, Bagamoyo, Chalinze mkoani Pwani, Ahmed Karama.
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Diwani wa Kata ya Bwilingu Chalinze Bagamoyo, Ahmed Karama
Nassar amesema yupo tayali kushilikiana na wadau mbalimbali ili iwezekane
kupatikana ukumbi maalumu wa mchezo wa masumbwi Chalinze aliyasema hayo
mwishoni mwa wiki iliyopita katika mapambano ya ngumi yaliyopigwa katika ukumbi
wa CCM Mwijuma Mwananyamala
Nina tarajia kufikisha mbali mchezo huu kwa kuwa
mmenishawishi kuupenda mchezo wa masumbwi mchezo unaopendwa na wengi na
kukimbiwa na wadhamini wachache ata hivyo nimeandaa mpambano rasmi utakaochezwa
Chalinze kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huu siku ya April 21 hivyo nawaomba
wadau wote wa ngumi tuamie chalinze kwa mda hili tuweze kuhamasha mchezo huu
Ambapo siku hiyo kutakuwa na ushindani mkubwa wa mabondia
kutoka Dar es salaam watacheza na mabondia wa Chalinze siku hiyo ata hivyo kwa
kuonesha kwamba anajili na anathamini mchezo wa masumbwi ame aidi kutoa gari
moja kwa ajili ya mashabiki na mabondia kwenda kushiriki mchezo uho wa April 21
mbali na ahadi hiyo Diwani huyo ametoa pesa taslimu shilingi
1,50000 kwa ajili ya malipo ya baadhi ya mabondia waliokuwa awajilipwa na
kuanza kudai kabla ya kupanda ulingoni na kuhamua kuchukua jukumu hilo la
kuwalipa mabondia hao
Mmoja ya wadau wa mchezo wa masumbwi nchini Ibrahimu
Kamwe amesema kuwa yupo tayali kutoa ushilikiano wa hali na mali kwa
kuanzia atachukua baahi ya vijana kwa ajili ya kwenda kucheza mchezo wa
masumbwi uliopangwa siku hiyo hivyo tupo pamoja unajua ngumi watu wanapenda
kuangalia ili galama zake ni kubwa ata hivyo naona ajabu wadhamini kushindwa
kujitokeza kuzamini mchezo huu unaopendwa na vijana wengi
na kuwataka wadau wengine kuiga mfano wa Ahmed Karama Nassar
kwa kuanza kusapoti mchezo wa masumbwi sehemu uliyopo
|
No comments:
Post a Comment