Vijana wenye vipaji anaozungumzia Mwanamachame wakiwa kazini, akiwa kama mdau wa muziki wa dansi nchini.
Wamiliki wengi wa bendi ni
wavivu wa kuandaa kwa faida ya badae, wengi wamejikuta wanaishi kwa fitina na
kuvizia nimchukuwe yupi toka kwa mwenzangu.
Engi Muro Mwanamachame
Lakini kuna vipaji vingi sana
vinapuzwa kutokana na zana ya kumkubali aliye juu na ndio maana kauli zao nyingi
mwisho huwa "tulimleta sisi mjini nyie mmedandia tu" lakini ukweli ni
kwamba hakuna kizuri bila maandalizi.
Leo hii hawa jamaa wanapiga madebe lakini hakuna anaewafikilia kwamba wana uwezo
wa kufanya kazi hata kwenye bendi kubwa, watu wamekalia kupigizana makelele na
wanamuziki waliojuu tayari.
Wekeni pesa hapa kwa faida ya badae, mfumo huo
ndio unaua mpaka soka letu, watu porojo tuuuuuuuuuu!!!! Mathew
Kiongozi, Deo
Mutta Mwanatanga, Yusuphed
Mhandeni, Said
Mdoe, Mashaka
Amiri.
Habari hii imeandikwa na Muro katika mtandao wa kijamii facebook, huku akiwa mdau mkubwa wa muziki wa dansi nchini.
No comments:
Post a Comment