Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao alilofunga Haruna Niyonzima.... |
Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza na beki wa Azam, Hamis Mcha
Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza akiwa na mpira huku beki wa Azam,
Hamis Mcha akimzuia wakati wa mchezo wa ligi kuu uliochezwa uwanja wa
Taifa
Haruna Niyonzima akishangilia bao kwa staili ya aina yake
Na Rachel Pallangyo, Dar es Salaam
TIMU ya Yanga leo imeibuka na pointi tatu kwenye mchezo wao dhidi ya Azam FC uliochezwa uwanja wa Taifa.
Yanga ambao walionekana kushambulia sana mwanzoni lakini baada ya dakika
20 walionekana kusimama kana kwamba wanatazama mechi na Azam
kuwashambulia lakini umakini wa washambuliaji uliwakosesha mabao ya
wazi.
No comments:
Post a Comment