Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa vitambulisho vya Taifa,Dicson Maimu, alipowasili katika viwanja vya
Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya
Mji wa Zanzibar,katika Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa
Zanzibar.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali
Devis Mwamunyange, akiweka kidole Gumba
kufanya uhakiki katika mashine maalum, wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya
Taifa, awamu ya kwanza kwa upande wa
Zanzibar, katika hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa
Zanzibar. Picha na Ramadhan
Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment