Ndugu Wana CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano
wa uchaguzi bila kukosa,
Ni nafasi ya kuwachagua viongozi wako utakao
wapenda kujenga Chama imara.
SIKU: JUMAMOSI Machi 16, 2013
MUDA: SAA 10 JIONI (4pm)
MAHALI:
TUTAWATANGAZIA
Ili uweze kupiga kura hakikisha una kadi yako ya
Chama na uwe mwanachama hai, na kama huna kadi au umepoteza tafadhali wasiliana
na Katibu wa Tawi wa muda
Yacob Kinyemi, Simu (202)-629-7841, email:
yacob1972@yahoo.com
Nafasi zinazowaniwa ni:
1) Mwenyekiti wa tawi
2) Katibu wa Tawi
3) Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa
Tawi
4) Katibu wa Fedha na Uchumi wa tawi
5) Mwenyekiti wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
6) Katibu wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
7) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT)
8) Katibu wa Jumuiya ya Wanawake ya Tawi
(UWT)
9) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Tawi
10) Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Tawi
SIFA ZA
MGOMBEA:
1. Awe na umri kuanzia miaka 18
2. Awe mwachama wa CCM mwenye kadi
Fomu za kugombania nafasi za uchaguzi
ziwakilishwe kwa M/Kiti ( HIDAYA MAHITA)wa Kamati ya
Uchaguzi kwa njia ifuatayo:
Fax: 1(888)835-5784 Email:
ccmwashdc@gmail.com
Mailing address: 1709 HAMPSHIRE GREEN LANE#33
SILVER SPRING MD 20903
MWISHO WA KUCHUKUA
NA KURUDISHA FOMU HIZO NI TAREHE 8 MARCH 2013
No comments:
Post a Comment