Bondia Francis Miyeyusho kuzipiga na Sadiki Momba Pasaka
Mabondia
Fransic Miyeyusho kushoto akitunishina msuri na Sadiki Momba wakati wa
utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya
Pasaka. Picha kwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishina msuri na
Sadiki Momba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya
sikukuu ya Pasaka, wanashudia katikati ni Promota wa mpambano huo, Kaike Silaju na Makamu wa Rais wa PST, Aga Peter.
No comments:
Post a Comment