Mkurugenzi wa Upimaji na
Ramani, Dk Selassie Mayunga akiwa amejumuika na wananchi wa kijiji cha
Sale,wilayani Ngorongoro kwenye mkutano uliokuwa unahutubiwa na
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kwenye
ziara ya kutatua migogoro ya ardhi wilayani humo.
|
No comments:
Post a Comment