Waziri wa Nishati na Madini Professor Sospeter Muhongo alipotembelea Makao Makuu ya Kampuni ya BG Uingereza
Makao makuu ya Kampuni ya BG.
Mh waziri Muhongo akisalimia na CEO wa BG
Chris.
Mh Waziri Profesa Muhongo akipokea maelezo kutoka kwa
injinia wa BG Group.
Presentation ikiendelea.
Mh Waziri akifuatilia ramani kutoka kwa msemaji wa
kampuni ya BG.
Control room ya BG Group.
Picha ya pamoja.
---
Salaam,
Urban Pulse Creative inakuletea picha ya ziara ya Mh
waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo alipotembelea makao makuu kampuni ya
BG inayofanya kazi ya uchimbaji wa gesi na mafuta ili kuangalia ufanisi wake na
namna gani inavyoweza kutufaa watanzania ikiwekeza nchini
kwetu.
Asanteni,
Urban Pulse Creative
No comments:
Post a Comment