Kamera yetu iliwanasa watu hawa, mtu mzima na mtoto
wakipigana maeneo ya Kimara Mwisho, jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, mtu mzima
aliambulia aibu baada ya kula kichapo cha aina yake na kuomba msaada kutoka kwa
watazamaji.
Ilikuwa ni aibu tupu katika ngumi hizo zilizoshuhudiwa na
watu, bila kuamulia mwanzo wakati wanaanzana kupigana. Na picha hii inaonyesha jinsi kaka anavyoadhibiwa na dogo.
No comments:
Post a Comment