Mabonia Bondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wakiwa wamepozi kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST Machi 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa. |
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau katikati akiwangalia mabondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wanavyotunishiana misuri Dar es salaam wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa. Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment