MKOA WA RUVUMA WAWAKUMBUKA MASHUJAA WALIO KUFA KWA KUNYONGWA WAKATI WA VITA VYA MAJIMAJI MWAKA 1906, JANA
Waziri wa Maliasili na Utalii Nchini
Tanzania Balozi Hamis Kagasheki ameweza kuongoza Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma
katika kuwakumbuka Mashujaa wa Vita vya Majimaji walionyonga tar 27/02/1906 na
Wajerumani ambapo Mashujaa 61 walizikwa katika Kaburi moja.
- Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma hukumbuka Mateso waliyoyapata Babu zao, Hapo wapo katika Viwanja vya Mashujaa Mahenge Manispaa ya Songea kushuhudia Maombolezo yaliyoongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamis Kagasheki.
No comments:
Post a Comment