Meneja Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingw(kulia) akiongea na Mshindi kwenye simu ya mezani
wakati wa Droo ya kuwapata washindi wa shilingi Milioni 5 na
Milioni moja katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na
kampuni hiyo,ambapo wafanyabiashara ndogondogo wa Kagera na Dar es Salaam, Rashid Kagombora na Adam Ramadhan wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni
5. Wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo, Matina Nkurlu, Benjamin Michael,
ambaye ni Maneja wa Huduma za Ziada na Afisa Mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya
kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Salehe, Mteja anatakiwa kutuma neno"MAHELA"kwenda
namba 15544 na kuweza kujishindia.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea
kushindaniwa. Picha kwa Hisani ya Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment