Mabondia Omary Ramadhani kushoto na Deo Njiku wakitunishiana misuri baada ya kusaini mkataba kupigania ubingwa wa Tanzania PST siku ya February 14 katika ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MABONDIA Deo Njiku wa Morogoro na Omary Ramadhani wataingia ulingoni Februari 14 katika ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese 14 kuwania Ubingwa wa Tanzania PST
Mpambano huo wa aina yake
unatarajiwa kuwa wa kusisimua kutokana kila mtu kuwa na rekodi nzuri
mpambano uho utakaosindikizwa na mpambano mwingine wa ubingwa kati ya Godfrey Silver na Adam Yahya ambapo mipambano hiyo itakuwa ya raundi kumi
Huku
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila 'Super
D' atampandisha kwa mara ya kwanza bondia wake mpya Iddy Mnyeke kuvaana
na Sadiki Momba mpambano utakaopigwa kwa raundi nne
Mgeni rasmi siku hiyo anatsrahjiwa kuwa ni Kamanda
wa polisi mkoa wa Kipolisi wa kinondoni Charles Kenyela atakaewafisha mikanda ya ubingwa
Super D, alisema katika mpambano huo
atasambaza DVD zake mpya tofauti na kanda yake ya awali iliyokwenda kwa
SUPER D BOXING COACH, DVD za sasa zimeandaliwa kisasa na zikiwa na
mchanganyiko wa ‘clips’ za michezo ya nyota wa Dunia katika kuwafunza
watu namna ya kupigana ngumi.Super D, alisema mbali na michezo ya nyota
hao wa Dunia akiwemo Manny Pacquio,Juan Emanuel Marquez, Floyd Maywether, Roy Jones na wakali
wengine DVD hizo zina.
michezo ya tamasha lao la ngumi wanaloendesha kwa kushirikiana na kocha mkongwe Habibi Kinyogoli.”katika muendelezo wa kuwafunza watu ngumi kwa njia rahisi, nimetoa dvd pamoja na CD nyingine tofauti zilizokusanya michezo ya mabingwa wa dunia na mafunzo ya ngumi tunayoendesha kupitia tamasha letu na Kinyogoli Foundition ” alisema.
Super D ambae ni kocha wa timu ya ngumi ya Ashanti pamoja na timu ya mkoa wa Ilala kimichezo alisema anamini kupitia njia hii watu wengi wenye kupenda kujifunza mchezo wa ngumi kwa kuangalia mbinu na ufundi katika mchezo huo kupitia michezo ya mabondia waliopo kwenye dvd hizo.
Aliongeza kuwa, mbali na dvd hizo bado wanaitajika vijana wenye vipaji kujitokeza kuja kushiriki katika mazoezi ya ngumi ili wajiunge na wenzao wa
timu ya Ashanti na Amana kujifunza ‘live’ chini ya makocha Habibu Kinyogoli, Kondo Nassoro, na yeye mwenyewe Super D na wengine wanaowanoa vijana.

No comments:
Post a Comment