Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na wananchi na wana CCM alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe
tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele
Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mama Salma Kikwete akisalimia wakati yeye na
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotua uwanja wa ndege wa mji
huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia
kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea
na mwandishi wa Radio Uhuru FM mara tu alipotua uwanja wa ndege wa mji huo
mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia
kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiwa tayari
kabisa Kumpokea Rais Jakaya Kikwete
Katibu Mkuu wa CCM akiwa na viongozi wa vyama tawala
vya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) na Burundi ambao wamealikwa katika
sherehe hizo
Wapiganaji waliotoka Dar es salaam hadi Kigoma
kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM.Picha na
IKULU
No comments:
Post a Comment