TANGAZO
Asante kwa kutuunga mkono. Tunaomba uendelee kuwa pamoja na sisi.
EWE mdau wa Handeni Kwetu Blog,
pia unaombwa kuiunga mkono group la Handeni Kwetu ambalo ni ndugu na blog hii
kwa lengo lile lile la kuelimisha na kupeana habari kwa ujumla.
Ukishangia kwenye facebook,
Andika Handeni Kwetu na utajiunga moja kwa moja ili tuendelee kuwa na muungano
mkubwa, hata kama wewe sio mtu mwenye asili ya Handeni, bado una nafasi yako
kama Mtanzania.
Kujiunga kwenye group hilo, tutaendelea
kuwa kwenye juhudi za kutafuta namna gani ya kujadiliana mambo kwa mapana
zaidi. Angalizo. Group la Handeni Kwetu kwenye mtandao wa kijamii wa facebook
halipo kwa ajili ya watu wa Handeni tu, bali Watanzania wote.
Bila kuangalia wapi tulipozaliwa,
tunapoishi, ni wakati wetu ku-join kwa ajili ya kuleta mwangaza zaidi kwa
maendeleo ya Taifa. Jinsi ya kujiunga.
Kama wewe tayari upo kwenye
facebook, ingia kwenye Search for peole, places and things na kuandika kwa
herufi kubwa HANDENI KWETU, kasha bonyeza hapo na kufuata utaratibu wa kujiunga
na kuwa mdau wa group hilo.
ASANTE kwa kuwa mdau wa blog ya
Handeni Kwetu, huku tukiahidi kwa pamoja kukuletea habari moto moto kwa namna
moja ama nyingine.
Kwa maoni na ushauri, tuandkie kwa email ya kambimbwana@yahoo.com au +255 712 053949
No comments:
Post a Comment