Kocha Moses Basena akifanya mazoezi mpamoja na wachezaji jana jioni uwanja wa Taifa |
Kocha wa Simba, Patrick Liewing, akifuatilia mazoezi ya timu yake inayaojiandaa kuwavaa Libolo kesho, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. |
TIMU ya Simba kesho itaingia uwanjani kuchezana Libolo ya Angola kwenye
mchezo wa klabu bingwa Afrika utakaochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam.
Mchezo huu utakuwa mgumu lakini na Simba nao wamejiandaa vema kukabiliana nao
Wachezaji wa Simba wamesema wana hakika mchezo huo watashinda na kuwaomba mashabiki kufika kwa wingi uwanja wa Taifa kuwashangilia
No comments:
Post a Comment