Mabondia Kombe Ally wa Luaha Galax akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Said Hofu wa JKT Makao Makuu wakati wa mashindano ya Klabu Bingwa yaliyofanyika uwanja wa Ndani wa Taifa. Picha zote kwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Said Hofu |
Mabondia
wa timu ya JKT Makao Makuu kutoka kushoto ni Ismail Gaitano,Hmidu
Alfani, Khamis Husein na Wambura Amiri klabla awajaingia kwenye mipambano
yao. |
Bondia Wambura Amir akipasha misuri moto. |
Bondia Mohamedi Chibumbui kushoto akitafuta mbinu ya kumkepa bondia Selemani Kidunda wakati wa mashindano ya klabi bingwa ya Masumbwi Kidunda alishinda K.O raundi ya kwanza. |
Bondia Selemani Kidunda wa Ngome kushoto akipigwa konde na Mohamed Chibumbui wa Magereza wakati wa mpambano wa Klabu bingwa Kidunda alishinda kwa K.O raundi ya kwanza. |
Bondia Selemani Kidunda wa Ngome kushoto akipigwa konde na Mohamed Chibumbui wa Magereza wakati wa mpambano wa Klabu bingwa Kidunda alishinda kwa K.O raundi ya kwanza. |
Bondia
Selemani Kidunda akikimbilia kona Nyeupe baada ya kumkalisha chini
Mohamed Chibumbui kwa konde zito wakati wa mchuano wa Klabu Bingwa Taifa
iliyofanyika uwanja wa ndani wa Taifa Kidunda alishinda K.O raundi ya kwanza. |
No comments:
Post a Comment