Monday, December 10, 2012
'Nisaidieni jamani binadamu wenzangu'
Mkazi wa kijiji cha Komsala, wilayani Handeni, mkoani Tanga, Zuberi Juma Bora, akionyesha sura ya huzuni kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya miguu kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Maisha yake kwa ujumla yanatawaliwa na shida na mateso ya kila aina.
Licha ya kuhangaika kwa muda mrefu, lakini hali kwake bado ni ngumu kama unavyomuona hapo nyumbani kwao na jinsi anavyoishi. Kwa yoyote mwenye kufahamu ugonjwa huu au lengo lolote la kumsaidia kwa hali na mali, Zuberi anamuomba amsaidie ili maisha yake yawe ya furaha.
Namba yake ni +255 719 708673 .
Picha na Kambi Mbwana.
XXXXXXX
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment