https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Tuesday, January 14, 2014

Mgombea nafasi ya uwakilishi jimbo la Kiembesamaki Zanzibar atajwa, ni Mahmoud Thabiti


Ndugu Mahmoud Thabiti Kombo mgombea wa uwakilishi jimbo la Kiembesamaki aliyeteuliwa na Kamati Kuu iliyokutana mjini Zanzibar tarehe 13 Januari 2014.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchemba akimpongeza Ndugu Mahmoud Thabiti Kombo kwa kuteuliwa kuwa mgombea wa uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, kushoto ni Waziri wa Afya Dk.Hussein Mwinyi.
Picha na Adam H.Mzee

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...