Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya
pamoja na Msanii wa Filamu na Bongofleva, Hemed Suleiman.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya
kumbukumbu na mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,TV,Mbwiga Mbwiguke.
Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na
Msanii Mkongwe wa Bongofleva,Gwamaka Kaihula a.k.a King Crazy G K.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na Msanii wa bongofleva na muigizaji wa Filamu hapa nchini,atambulikae kwa jina
la kisanii Zuwena Mohamed a.k.a. Shilole.
Rais Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja ma mtangazaji wa clouds fm DJ fettty.
Rais Kikwete akiwa akiwa katika
picha ya pamoja na Msanii Mkongwe wa Bongofleva, Khalid Mohammed aka TID aka
Mnyama.
Rais Kikwete akiwa katika picha
ya pamoja na Wasanii wa Bongofleva,Ally Kiba na mdogo wake Abdul Kiba.
|
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongofleva mara baada ya
kufturu.Kutoka kushoto,Snura,Keisha,Mwasiti,aliyechuchumaa ni Shilole, Dj Fetty, Mwanahawa Abdul a.k.a Quee Doreen.
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya pichani
shoto Mwasiti Almas na kulia Zuwena Mohamed a.k.a Shilole wakiwa sambamba na
Mtangazaji wa Clouds FM,Dj Fetty wakipakua ftari kufuatia mualiko wa Rais
Kikwete kwenye viwanja vya Ikulu,jijini Dar jana.
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a
Bongofleva wakipata ftari kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar jana kufuatia
mualiko wa Rais Kikwete.
Rais Kikwete akisalimiana na msanii wa
bongofleva,Lawrence Malima a.k.a Marlow,kulia kwake ni Ally Kiba pamoja na
Abdul Kiba na kushoto ni Mtangazaji wa East Africa Radio, Samisango.
Rais Kikwete akisalimiana na msanii
wamuziki wa kizazi kipya,Chege Chigunda na kulia kwake ni msanii wa
bongofleva,Cassim Mganga,wakati wa kupata ftari jana jioni kwenye viwanja vya
Ikulu jijini Dar.
Rais Kikwete akiwasabahi baadhi ya wasanii
wa muziki wa kizazi kipya,mara baada ya kupata ftari mapema jana jioni kwenye
viwanja vya Ikulu jijini Dar,Rais Kikwete aliwaalika wasanii mbalimbali kupata
ftari ya pamoja Ikulu jana jioni.
Rais Kikwete akiwa meza kuu.
No comments:
Post a Comment