https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Thursday, August 15, 2013

Kumbukumbu ya kifo cha Brigedia General January Nyambibo, kilichotokea Agosti 15 mwaka 2008



KUMBUKUMBU

FAMILIA ya Brigedia General, January Nyambibo hatutaacha kukukumbuka kwa sala na maombi wakati wote baba yetu mpendwa uliyetutoka ghafla Agosti 15, 2008 na kuzikwa Agosti 18 katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

LEO Agosti 15 umetimiza miaka mitano tangu ulipotutoka, unakumbukwa na watoto wako (Husna Mr & Mrs Juma Kasesa), Mr & Mrs Malu Stonchi, (Mr & Mrs Misana) Hamisa, Masha, Mkama, Bwire, Perus, Peter, Mkeo Rukia Abdalah Kitogo na wajukuu zako Haji, Amanda, Jenifer, Angel, Mkama, Devon, Robert, Mohsini, Rukia na Familia yote ya Nyambibo.

Sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi
Bwana ametoa na bwana ametwaa.

Jina lake lihimidiwe
Amin

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...