https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Sunday, August 25, 2013

Msondo Ngoma wafanya balaa onyesho la kwanza kukosekana kwa Gurumo aliyestaafu muziki

Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi, Hamisi Mnyupe, Saidi Mabera, Juma Katundu na Shabani Dede.
Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi, Hamisi Mnyupe, Saidi Mabera, Juma Katundu na Mustafa Pishuu. 

Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu pamoja na Mustafa Pishuu.
Wasanii Hamisi Mnyupe kushoto na Romani Mng'ande wakiwajibika jukwaani. Picha kwa hisani ya Msemaji wa Msondo Ngoma, Super D.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...